begin

vi 1 anza. ~ with anza na. ~ on something anza kufanya kitu. 2 (start) anzisha. beginner n mwanzishi, mwanzilishi; mwanafunzi. beginning see begin n mwanzo; awali; asili, chanzo a good ~ning is half the battle mwanzo mzuri ni nusu ya ushindi.