before

adv 1 kabla (ya), awali ya ~everything else awali ya yote ~ me mbele yangu two days ~ he died siku mbili kabla hajafariki ~ my time kabla ya wakati wangu he arrived ~ time alifika mapema. 2 mbele ya she stood ~ him alisimama mbele yake he was brought ~ the judge aliletwa mbele ya hakimu. 3 kuliko death ~ defeat aheri kufa kuliko kushindwa. 4 come/go ~ tangulia the day ~ yesterday juzi. carry all ~ one fanikiwa katika yote unayofanya. ~ hand adv mbele, kwanza, kabla, awali pay ~ lipa kwanza, lipa kabla.