befog

vt 1 funika kwa ukungu. 2 fumba, tia wasiwasi. be ~ged fadhaika, kanganyika, -funikwa na ukungu; (fig) -wa na wasiwasi, babaishwa, tatanishwa, kanganywa.