beet

n kiazisukari. red ~ n kiazisukari chekundu. white ~ n kiazi sukari cheupe. ~ sugar n sukari inayotokana na kiazisukari.