beef

n 1 nyama ya ng'ombe roast ~ nyama ya kubanika. 2 (of people) misuli nguvu. 3 (US) (pl) beeves ng'ombe walionona (agh. huchinjwa kwa chakula). vi (sl) kuwa na dukuduku, lalamika stop ~ing acha kulalamika. ~ up imarisha. ~ eater n mlinzi wa (Tower of London). ~ steak n steki ya nyama ya ng'ombe. ~ cattle n ng'ombe wa nyama. ~ -tea n supu ya nyama ya ng'o mbe (hasa kwa wagonjwa). ~fy adj (of a person) -enye nguvu, -nene.