n 1 nyuki (fig)have a ~ in his bonnet shikilia sana jambo fulani. make a ~-line for nenda moja kwa moja kwa njia iliyo fupi kabisa. beehiven 1 mzinga. 2 (US) mkusanyiko wa majirani (kwa ajili ya kazi ya burudani). 3 mashindano ya kirafiki. bee-eatern keremkeremu. ~ breadn mchanganyiko wa asali na chavua (chakula cha watoto). ~'s waxn nta; polishi ya sakafu.