bed
bed
1 n 1 kitanda go to ~ enda kulala make a ~ tandika. (fig) a ~ of roses maisha ya starehe/anasa. a ~ of thorns maisha ya taabu. as you make your ~ so you must lie in it (prov) utavuna ulichopanda (arch) be brought to ~ zaa; ugua. take to ~/ keep to one's ~ -wa mgonjwa put a child to ~ -laza mtoto. get out of ~on the wrong side amka vibaya. ~ post n besera. between you and me and the ~ siri kati yangu mimi na wewe tu; bedridden adj -gonjwa kitandani. ~-rock n msingi wa mwamba; (fig) kiini cha jambo. ~ price n bei ya mwisho/ya kwisha; rahisi mno adj -a chini kabisa. ~ roll n 1 vikorokoro vya kitanda vinavyoweza kubebeka (safarini). 2 (foundation) msingi. 3 godoro, matandiko. vt 1 patia kitanda/mahali pa kulala. (fig) go to ~ with jamiiana, lalana. bedroom n chumba cha kulala. ~-side n kando ya kitanda cha mgonjwa at somebody's ~ pamoja na mgonjwa ~ side manners tabia ya mganga katika kufariji wagonjwa Dr Shija has good ~ side manners Dkt Shija anajua kuwafariji wagonjwa. ~-sore n kidondamalazi (kutokana na kulala sana kitandani kwa mgonjwa). ~-spread n shuka ya kitanda. ~-stead n matendegu. ~-time n saa ya kulala. ~ stories hadithi za kusimulia kitandani. bedding n matandiko. bedded adj.bed
2 n 1 (of plants) tuta. 2 udongo ulio chini ya bahari (mto au ziwa) -a ~ of sand mahali penye mchanga, fungu la mchanga. vt ~ (in/out) pandikiza miche. ~ (in) weka au ingiza (kutoka/kwenye msingi n.k.) the bullet ~ded itself in the wall risasi iliingia ukutani.