become

vi 1 geuka, -wa; anza kuwa ~ old zeeka, konga, -wa mzee ~ thin konda, sinyaa, -wa mwembamba. 2 ~ of tokea, kuwa what has ~of him kimemtokea nini? ~ ill -wa mgonjwa ~ interested vutiwa, pata hamu ~ known julikana. 3 vt faa, pendeza, shamiri, falia. 4 chukua, pendeza, kaa that hat ~s you kofia ile inakukaa; inakupendeza sana. becoming adj -a kufaa, -a kupendeza. becomingly adv.