beauty

n 1 uzuri, urembo. a ~ mrembo, mwanamke mzuri sana, kisura; (sl) toto shoo. ~ salon/parlour n duka la kurembea. ~queen n msichana mshindi katika mashindano ya uzuri. ~ sleep n usingizi kabla ya saa sita usiku. ~-spot n 1 mandhari mazuri. 2 kidoti kwenye uso (inasemekana kinaongeza uzuri). beauteous adj (poet) = beautiful. beautician n mrembeshaji. beautiful adj -zuri, -a urembo. adv. ~ly beautify vt fanya zuri, pamba, rembesha.