beau

n (arch) 1 mzee ambaye anapenda sana mtindo wa nguo zake. 2 shabiki wa wanawake. 3 mhusudu/ mpenzi wa msichana. 4 ~ ideal n wazo la mtu kuhusu uzuri na ubora. the ~ monde n jamii/tabaka la juu lenye kupenda ulimbwende.