beatnik

n 1 mpinzani wa maadili ya jamii. 2 mwigaji wa tabia au mavazi (yasiyo ya kawaida) yanayopingana na maadili ya jamii.