beatify

vt 1 tangaza utakatifu, tangaza kuwa marehemu ni mbarikiwa; tangaza mtu kuwa mwenye heri. 2 furahisha. beatification n. beatific adj -enye kuonyesha furaha kubwa, -a kufurahisha mno, -enye kubarikiwa.