beast

n 1 mnyama. 2 (farming) ng'ombe, fahali, mnyama anayebeba mizigo. 3 mtu katili, mtu mwenye mwenendo/tabia mbaya. beastly adj -a kinyama, -siofaa kutumiwa na watu; kama mnyama, (colloq) baya; (colloq) mno. It is ~ly hot kuna joto mno. ~ness n 4 mshenzi. beastly adv mno, sana.