bear
bear
1 n 1 dubu. 2 mtu mkali, asiye naadabu, mtu wa ovyo, mjeuri. bearish adj -a kijeuri; -a -ovyo, -zembe, dubu. ~ skin n 1 ngozi ya dubu. 2 kofia za manyoya (za jeshi la kifalme).bear
2 vt 1 chukua/beba ~ a heavy load chukua/beba mzigo mzito ~ away the palm shinda sana na kupata zawadi ~ away the prize nyakua zawadi. 2 (endure) vumilia, stahimili she can't ~ cats hawezi kuvumilia paka I cannot ~ him simpendi kabisa he can't ~ the pain hawezi kustahimili maumivu. 3 (produce) zaa ~ fruits zaa matunda. 4 onyesha kuwa na ~ signs of onyesha alama za the letter ~s your address barua ina anwani yako. 5 ~ oneself kuwa kama ~ oneself like a Professor kuwa kama Profesa; jiheshimu, kuwa na adabu. 6 toa. ~ witness toa ushahidi. ~ a hand toa msaada. vi 1 ~ on husiana na. 2 elekea, enda; geuka ~ to the right elekea upande wa kulia. 3 ~ with somebody vumilia mtu ~ with me niwie radhi, nivumilie. 4 ~ down shinda. ~ up stahilimi, vumilia. ~ out unga mkono, thibitisha. ~ on/upon husiana; athiri. ~ in mind kumbuka, zingatia. ~ a hug kumbatia sana. bearable adj -a kuvumilika, -a kustahimilika. bearer n 1 mchukuaji, mjumbe, mwenye kuleta payable to ~ -a kulipwa kwa mwenye kuchukua. 2 mtu asaidiaye kubeba jeneza; mbeba machela, bendera n.k. 3 mpagazi, hamali. 4 office ~er n mwenye cheo. 5 (of trees) good/bad ~ er mti unaozaa vizuri/vibaya. bearing n 1 (behaviour) mwenendo; namna ya kusimama au kutembea. 2 (patience) saburi, uvumilivu it's beyond ~ing haistahimiliki. 3 (production) uzazi; zalisho. 4 (meaning) uhusiano, pande zote consider the matter in all its ~ ings angalia jambo kwa marefu na mapana. 5 (position/condition) mahali, hali, kikao; uelekeo, nyuzi take one's ~ings tafuta uelekeo I have lost my ~ings nimepotea, nimepoteza uelekeo; sijui niko wapi. 6 (tech) gololi. armorial ~ings. ngao ya heshima.