beam
n 1 mhimili, boriti. 2 mwali wa mwanga. 3 (naut) mkalio. 4 (sl of person) be on one's ~ ends ishiwa fedha. 4 ishara ya kuelekezea ndege. be on/off the ~ 1 (aircraft) fuata/potoka njia. 2 (of a ship) on her ~ ends lalia upande mmoja, karibia kuzama. vt,vi 1 (of the sun, moon, stars) toa mwanga na joto. 2 (fig) tabasamu, furahia, changamka, kenua meno. 3 ~ something (to) tangaza (kuelekea); elekeza.