beak1 n 1 mdomo wa ndege (hasa uliochongoka na mgumu). 2 (informal) pua kama mdomo wa ndege. 3 silaha (kama panga) inayojitokeza kama mdomo wa ndege mbele ya jahazi.