beacon

vt ongoza, tangaza kwa mnara wa taa. n 1 kioleza: kilichowekwa kuonya hatari n.k., chungu ya mawe, mlingoti, nguzo, mnara. 2 mwanga mkubwa wa kujulisha habari (ya hatari, furaha n.k.).