bazaar

n 1 (of Iran, India & other Eastern countries) mtaa wenye maduka na karakana; mahali penye maduka na soko. 2 duka lenye bidhaa rahisi, duka lenye vikorokoro. 3 (mahali pa) seli/mnada uliokusudiwa kupata fedha za kuwafadhili wasiojiweza.