bay
bay
1 n ghuba, hori; ~ of Mexico Ghuba ya Mexico.bay
2 n 1 kidaka, kishubaka. 2 ~window n dirisha la kutokeza nje.bay
3 vi gumia, bweka, lia (kama mbwa). (idiom) ~ at the moon lilia kitu usichoweza kupata. n mlio wa mbwa, mbweko. keep/hold at ~ simamisha (adui), zuia, kinga.bay
4 adj,n -enye damu ya mzee; farasi wa rangi ya damu ya mzee.