bawl

vt piga kelele, lia (kwa sauti kubwa); guta ~ abuse at somebody tukana kwa makelele. vi ~ somebody out karipia. n ukelele; guto.