battle

vi pigana, shindana, pambana. n 1 mapigano baina ya majeshi, vita 2 mashindano, mapambano. 3 ushindi youth is half the ~ ujana ni nusu ushindi. battle-axe n shoka la vita (sl) mwanamke jabari. ~-cruiser n manowari. ~-dress n vazi la kivita. ~ field/ground n medani, uwanja wa vita. battleship n manowari kubwa. ~-array n mpango wa vita.