battery
n (mil) 1 kikosi cha askari wa mizinga. assault and ~ shambulio. 2 kundi la mizinga mikubwa katika meli ya vita. 3 betri: seliumeme zaidi ya moja zilizoungwa pamoja. 4 seti ya vyombo au ala zitumikazo pamoja. 5 msururu wa viota vya kutagia/kunenepeshea kuku.