batten

n taruma: kipande cha mti kitumiwacho kuvifanya vipande vingine vikae mahali pake. vt,vi 1 kaza kwa taruma ~ down the hatches funga milango ya kushukia ndani ya meli. 2 ~ on/upon nenepa kwa kuwanyonya wengine.