battalion

n batalioni: kikosi cha askari ambacho kina kombania kadhaa na ambacho ni sehemu ya brigedi au rejimenti.