bath

n 1 kuoga. 2 maji ya kuoga. 3 birika, bafu chombo cha kuogea/ kusafishia. hypo ~ n chombo cha kusafishia filamu. 4 (pl) swimming ~ n bwawa la kuogelea vapour ~s mafusho, mafukizo public ~s hamamu. ~ chair n gari la kuchukua mgonjwa. bathrobe n nguo ya kushindia nyumbani. bathroom n chumba cha kuogea, bafu, hamamu. ~ tub n hodhi, bafu. vi,vt oga; ogesha.