batch

n 1 bechi: idadi ya mikate, keki, na vyakula vingine vya kuokwa/vilivyookwa kwa mkupuo mmoja. 2 jumla ya watu au vitu vinavyoshughulikiwa kama kundi.