bat

bat

1 n popo. (sl) have ~s in the belfry -wa punguani. as blind as a ~ kutoona kabisa; (fig) kutotilia manani yanayotokea. ~s/ ~ty kichaa.

bat

2 n 1 mwendo (sl) go off at a rare ~ piga mbio. 2 (fig) he went on a ~ alichapa maji sana.

bat

3 vt 1 (phr) ~ the eyes pepesa macho. he never ~ted an eyelid hakushangaa hata kidogo; hakulala hata kidodo. 2 (of cricket) piga mpira kwa kutumia gongo. n 1 (cricket) gongo la kriketi (fig) off the ~ tenda bila fikra. (fig) do something off one's own ~ kufanya kitu bila msaada. 2 ~s man n mchezaji wa kriketi mwenye zamu ya kupiga mpira.