bastion

n 1 (often five-sides) mojawapo ya pande za ngome ambayo hujitokeza zaidi kuliko nyingine. 2 (fig) ngome ya jeshi (karibu na nchi ya maadui). 3 (fig) jambo lililohifadhiwa.