bastard

n 1 mtoto wa nje ya ndoa. 2 mkatili, mshenzi. 3 asiye na bahati. 4 kitu bandia. bastardize vt 1 tamka au thibitisha mtu fulani ni wa nje ya ndoa. 2 potosha ~ized story hadithi iliyopotoshwa. bastardy n (leg) hali ya kuzaliwa nje ya ndoa.