basket

n 1 kikapu; pakacha; tenga, dahani, jamanda. basketry n 1 usukaji wa vikapu. 2 sanaa ya utengenezaji vikapu. basketful n. basketlike adj. basket-ball n ~ mpira wa kikapu. ~-chair n kiti cha henzirani. ~-work (also basketry) see basket 1.