baseball

n (US) besiboli: aina ya mchezo wa mpira wa gongo unaochezwa na timu mbili za watu tisa kila upande.