base

base

1 n 1 msingi, kitako, sehemu ya chini. 2 (math) kizio (cha kuhesabia). 3 (chem) besi, aina ya alkali. 4 (mil) kituo military ~ kituo cha jeshi. 5 (in) ~ball kituo kimojawapo katika vituo vinne vya mchezo wa besiboli. baseless adj -sokuwa na msingi, -sothibitishwa. baseness n. basement n sehemu ya nyumba iliyo chini ya ardhi. vt weka msingi, tegemeza ~ taxation on income kadiria kodi kutokana na mapato. basal adj -a msingi, -a muhimu.

base

2 adj 1 (of persons, their behaviour thoughts etc) -a chini; -ovu, -baya. 2 (arch) (of minerals) -a thamani ndogo. 3 (of money) -a bandia. 4 (arch) ~ born adj duni kwa asili; aliyezaliwa nje ya ndoa.