barter

vt,vi badilisha/badilishana (mali, bidhaa n.k.). ~ away badilisha kitu kwa kitu kingine bila kujali thamani halisi ya kitu. ~ down teremsha thamani ya kitu. (fig) ~ away ones freedom uza uhuru kwa kuubadilisha na kitu kingine. n mali kwa mali.