barrage

n 1 boma la kuzuia maji mtoni. 2 (mil) (fig) ukuta wa mizinga ipigwayo mfululizo katika sehemu fulani. 3 vitu mfululizo a ~ of questions mfululizo wa maswali.