barn

n kihenge: ghala ya nafaka, nyasi za kulishia wanyama. ~ door n mlango mkubwa wa nyumba ya kuwekea nafaka au nyasi; (colloq fig) dango la wazi. 2 (derog) jengo lolote kubwa lisilo na kurubakuruba au madoido. 3 banda, shedi. ~ yard n eneo la shamba lililozungukwa na nyumba.