barium

n 1 bari: metali laini yenye weupe unaofanana na fedha. 2 ~ meal n kemikali inayoingizwa katika utumbo kabla haujapigwa eksirei.