bargain
vt,vi 1 jadiliana juu ya bei/malipo they ~ed with the fisherman for a supply of fish walijadiliana na mvuvi kuwapatia samaki. 2 kubaliana, afikiana, patana they ~ed on the price of sugar walipatana (juu ya) bei ya sukari. 3 ~ for tazamia, tegemea we didn't ~ for Ali getting married so soon! hatukutegemea Ali angeoa mapema kiasi hicho. 4 wekea masharti the workers ~ed they should not have to work on Sundays wafanyakazi waliweka masharti kwamba wasifanye kazi siku za Jumapili. 5 uza he ~ed away his freedom aliuza uhuru wake drive a hard ~ lazimisha mapatano kwa kuvutia upande wako into the ~vilevile it's/that's a ~ nakubali, sawa. n 1 maafikiano, (ya kununua/kuuza au kubadilisha kitu), mapatano. make a~/get the best of the ~ usipunjwe. strike a ~ fikia mapatano. 2 kitu kilichonunuliwa/ kilichopatikana kwa bei nafuu ~ sale seli ya bei nafuu ~ price bei ya uhafifu. bargaining n