bare

vt funua, vua, bambua, weka wazi; bainisha ~ one's head vua kofia. ~the teeth kenua meno. ~ one's heart weka wazi hisia za ndani adj 1 wazi, pasipo kitu. ~ headed adj kichwa wazi. ~ footed adj pekupeku. in one's ~ skin uchi. ~ backed adj mgongo wazi ~faced lie uwongo wa wazi ~ chested kifuawazi. 2 tupu, karibu tupu ~ shelves marafu matupu. 3 -sio zaidi ya, akali ~ living maisha ya kijungumeko. barebones n king'onda. barely adv kwa shida he can ~ read anasoma kwa shida.