barbarity

n 1 ukatili; ushenzi. 2 (pl) vitendo vya ukatili. barbarian n mshenzi. barbaric adj -shenzi; katili. barbarism n 1 ushenzi. 2 matumizi mabaya ya lugha. barbarous adj 1 -shenzi,-a kishenzi. 2 (cruel) -katili. ~ly adv.