barb

n 1 (bio) kizari: kishore kidogo kwenye kikonyo cha unyoya. 2 chembe (cha mshale au ndoana). barbed adj 1 -a chembe. ~ed wire n seng'enge. 2 -a bezo a ~ed remark n msemo wa bezo.