bar
n 1 pao, ufito, mche ~of soap mche/mnara/kinoo cha sabuni. 2 mti, nguzo. 3 (of door) nondo, kipinga, pingo. 4 (of gold) mkuo. 5 (-dogo) komeo, kiwi. 6 ukanda mwembamba. 7 (obstruction) kikomo, kizuizi. 8 fungu la mchanga, matope (mlangoni mwa mto au mwa bandari). 9 mhimili. 10 (of music) mstari ulalo wa nota ya muziki. 11 (leg) kizimba. 12 uwakili. be/called to the ~ kubaliwa uwakili. case at ~ kesi inayosikilizwa. the ~ jamii ya mawakili. read for the ~ soma sheria. 13 baa: mahali pa kuuzia na kunywa pombe, mvinyo, n.k. ~ maid/man/tender n mhudumu wa baa coffee ~ mkahawa. 14 (of sunlight) mwonzi. 15 (military) tepe la nishani. vt 1 (obstruct) zuia be time -~red -kinzwa na wakati.