bank

bank

1 n 1 tuta. 2 (of river) ukingo, ufuko (wa mto n.k.). 3 mkusanyiko, lundo la mawingu, matope n.k. 4 fungu. sand ~ n fungu la mchanga. vt,vi 1 (of aircraft) ruka kiubavuubavu. 2 (up) fanya fungu, lundo, tuta.

bank

2 n benki The ~ of Tanzania Benki Kuu. 2 hifadhi. blood ~ n hifadhi ya damu. 3 (gambling) fedha alizonazo mchezeshaji kulipia washindi break the ~ filisi vt weka (fedha n.k.) benki. vi 1 (colloq) ~ (on) tegemea sana. banker n mwenye benki; mkurugenzi wa benki; mbia wa benki. ~er's card n kadi ya mteja wa benki (inayotaja kuwa benki itawajibika kulipia cheki zote hadi kiasi fulani).

bank

3 n 1 (of boats) ubao (wa mpiga makasia). 2 mstari wa mashine aghalabu tapureta. ~ draft n hati ya benki ya kuidhinisha malipo. ~ rate n kiwango cha riba ya benki.