bang

bang

1 1 n mshindo, mgoto. 2 kishindo. 3 (sl US) shauku kubwa. go off/over with a ~ fanikiwa sana. vt 1 piga sana, gonga/gogota. 2 piga kelele. 3 (sl vulg) kaza. 4 ~ away fanya kazi kwa juhudi. 5 ~ into kutana na adv, interj go ~ lipuka kwa mshindo.

bang

2 n kuchega nywele usoni. Vt chega nywele usoni.

bang

3 adv sawa kabisa, hapohapo Your answer's ~ on jibu lako ni sawa kabisa.