band

band

1 n 1 ukanda, ugwe. ~ saw n msumeno wa ukanda. 2 utepe. 3 (stripe) mstari, mlia. 4 (of radio) bendi. 5 rubber/elastic ~ n pete ya elastiki vt tilia ukanda/mstari.

band

2 n 1 jamii, kundi, kikosi. 2 bendi, beni: kikundi cha wapigaji ngoma au wanamuziki. bandmaster n kiongozi wa bendi. ~ man n mwanabendi. ~ stand n jukwaa. (phr) jump on the ~ wagon fuata upepo. vi ~ (together/with) ungana, jiunga pamoja.