banana

n 1 ndizi. 2 ~ tree n mgomba a bunch of ~s chane a stalk of ~s mkungu ~ republic nchi inayoendelea (hasa za Marekani ya Kati na Kusini) yenye siasa isiyo imara.