ban

n amri ya kupiga marufuku There is a ~ on smoking ni marufuku kuvuta sigara. vt 1 kataza, piga marufuku. banned adj marufuku. ~ning order n amri ya kupiga marufuku.