balustrade

n uzio: safu ya viguzo vyenye ubao (juu ukingoni mwa roshani au ukingoni mwa ngazi ya kupandia).