balloon

n 1 puto. ~ barrage n kizuio cha maputo. hot air ~ puto la hewa ya joto. 2 (of cartoon) sehemu inayobeba maneno ya wahusika. vi (swell) vimba kama puto. balloonist n mwanaputo, mrukaji katika puto.