ballet

n 1 bale: dansi yenye maigizo (bila maongezi wala nyimbo). 2 kundi la wacheza bale. ~ dancer n mcheza bale. ballerina n mcheza bale wa kike. ~ mane n shabiki wa bale.