vt,vi 1 oka (mkate, nyama n.k.). 2 kausha (kauka); choma (kwa joto la jua au la moto) ~d bricks matofali ya kuchoma, fukutwa. bakern mwoka mikate. bakeryn tanuri mikate. baking powdern hamira. ~r's dozen kumi na tatu. baking hotadj -a joto mno. half ~dadj -sio na busara, -a kipumbavu.